Ewura yatangaza bei mpya ya Mafuta ya Dizeli na Petroli mwezi Machi, 2025

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 05 Machi 2025 saa 6:01 usiku.

     

Post a Comment

Previous Post Next Post